Kaka mi nakubaliana na wewe kabisa katika hili lakini kuna swali pia la kujiuliza, Kwanini wanaume zaidi?Musimo kwamba ongezeko la vifo vya wanaume linatokana na mambo vifo vingi ya urithi?...Well kwangu mimi hii habari naipa 50/50 sitaki kusema hiyo ndio sababu hasa kwa kuwa tumeshuhudia vifo vingi vikitokana na majanga mbali mbali kama vile kuumwa, ajali na kadhalika ingawa kuna baadhi ya imani watu hawajaondokana nazo
Sasa km huu utafiti ni wa kweli huko mbele ya safari itakuwaje,hivi tunanyang'anyana wanaume hamtutoshi,mikizidi kufa sio itakuwa tabu tupu,mungu aepushie mbali au sie wanawake atupunguze kiaina ili namba ibalance na wanaume.