Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,562
Ni asilimia ngapi ikiongezwa itafidia?Umekuja kukusanya maoni ili upandishe huo mshahara au umekuja kuwachora watumishi wa umma.?
#MaendeleoHayanaChama
Wewe ni mpandisha mishahara halafu hujui kiwango gani..mimi ni kushauri tu jumisha annually increments zote za miaka saba..ndio muwapatie stahiki zao watumishi.Ni asilimia ngapi ikiongezwa itafidia?
Hongera kwa mawazo yako.Wewe ni mpandisha mishahara halafu hujui kiwango gani..mimi ni kushauri tu jumisha annually increments zote za miaka saba..ndio muwapatie stahiki zao watumishi.
#MaendeleoHayanaChama
Hali ya tuliyopo ikoje?ni ngumu kufidia kwa miaka yote hiyo maana scale zinatofautiana, cha msingi iongezwe kiasi cha kuendana na hali tuliyopo. Pia serikali izingatie sana kima cha chini maana wanaoumia wengi na wa huku chini huko juu kuna fursa nyingi.
mhWatumishi wameumizwa san miaka kadhaa iliyopita.Ndo maana maombi tao yakajibu 17.
Kuna ahadi aliitoa Mwezi wa 5 mwaka aliochukua himaya.Sasa si utupandishie huo mshahara ndugu Mpandisha mishahara? Maana yule jamaa alituumiza kweli kweli! Na huyu mrithi wake aliye tuachia mwenyewe naye yuko busy kujijengea himaya ya kudumu kama mtangulizi wake!
Kusema annual increment ilisimama, sitetei ila huenda labda ni kwa baadhi ya secta za umma, lakini wengine increment ziliendelea na hadi sasa zinaingia.Habari zenu wakuu,
Poleni na Hongereni kwa kutumikia Taifa kupitia nyanja tofauti tofauti kuanzia wakulima, wafugaji, mafundi, wafanyabiashara na watumishi wa umma.
Baada ya salam naomba niende kwenye lengo la kuandika maneno yote haya.
Kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa 2022 hakuna zile Annual increments Kwa watumishi wa serikali,
Ongezeko hilo lipo kwa mujibu wa sheria na serikali haikuweza kutekeleza hilo Kwa miaka 7 sasa licha ya kuwa ni utaratibu uliopo kikanuni.
Ni asilimia ngapi ya kiwango cha mshahara ambacho kikiongezwa kinakuwa kimefidia miaka yote ambayo annual increment haikuweza kuongezwa kwa watumishi?
Asanteni sana na karibuni.
Mabenki yatapoteza faida nchi itakosa kodiMbali na upandishaji wa mishahara serikali inaweza kuja na ubunifu kwa kutoa special package ,namanisha mikopo maalumu kwa watumishi yenye Riba ndogo na muda mrefu kuliko hii ya ki biashara.
Sekta gani hizo baadhi?Kusema annual increment ilisimama, sitetei ila huenda labda ni kwa baadhi ya secta za umma, lakini wengine increment ziliendelea na hadi sasa zinaingia.
Kama ni zile nyongeza za mishahara alizoasisi mst. Ally Hassan Mwinyi, alizokuwa akizitangaza kila Tarehe 01/05 hizo sawa ni mwaka wa7sasa ni hola, yaani bila bila.
Uliza idara zote za ulinzi.Sekta gani hizo baadhi?
Nimefatilia, Tarifa hizo si za kweli.Uliza idara zote za ulinzi.