DuuhSio kwamba alimaanisha kwamba 2022 okay....
Ila watu wanapanda madaraja, kuanzia June na July hii watu wamepata mishahara mipya, tuwe wavumilivu tu awamu kwa awamu....
Tuendelee kula mtori nyama zipo chini
Ongezea kila mwezinina uhakika wa kupata "furusana" 5 za wanangu kila mwezi
Bora magu aliongezaga mtungi mmoja wa gasMama kaongeza kilo ya sukari 2,500/=
Yes, imeongezwa alafu wanaichukua kwenye kodi ya laini ya simu, hiyo ndiyo CCM NI ILE ILE.Mambo yameiva huko mshahara wa mwezi Julai umeingia. Ongezeko ni 2500 baada ya kupunguza kodi 1%.
Hii inatosha robo ya nyama tu.
Kazi iendelee.
Huyu Bimkubwa wenu hamna kitu, ni maneno mengii.
She will going to be a big disappointment kwenu wote mliojenga matumaini kwake.
Kivipi?Kwa waliopanga madaraja wameshuhudia viwango tofauti vya mshahara kwa watu walio ngazi moja,sijui serikali imecalculate vip,ngoja Tusubiri salary slip!!!
Inasikitisha sanaBora magu aliongezaga mtungi mmoja wa gas
Huu utani mbaya mwanangu. Hii siyo nyongeza ya mshahara bali nyongeza ya masihara.Mambo yameiva huko mshahara wa mwezi Julai umeingia. Ongezeko ni 2500 baada ya kupunguza kodi 1%.
Hii inatosha robo ya nyama tu.
Kazi iendelee.
cheers.Mambo yameiva huko mshahara wa mwezi Julai umeingia. Ongezeko ni 2500 baada ya kupunguza kodi 1%.
Hii inatosha robo ya nyama tu.
Kazi iendelee.