Ongezeko la mshahara ni Tsh 2,500/= rekodi nyingine imevunjwa

Kwa nijuavyo mie may mosi maza alisema ataongeza mwakani.....
Hivi mwakani itafika kweli, yaani mtu unaona hata uuze nyumba uende bush kabisa ukajenge kabanda kadogo , utafuye shamba ulime , ufuge kuku. Yaani upate sehemu kuna bonde hivi utulie huko..uache kupigizana kelele na watu wa mjini.
Unakula zako ganja kimyaaa, mayai ya kuku unaokota unakula, maisha ivo yani.
 
Hahahahaha hongera kwa kuongezewa robo kitoweo Mkuu.
Mambo yameiva huko mshahara wa mwezi Julai umeingia. Ongezeko ni 2500 baada ya kupunguza kodi 1%.

Hii inatosha robo ya nyama tu.

Kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom