FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,896
- 43,789
Inamaana katika mwezi wa dec.2015 peke yake tumekusanya fedha ya ziada inayozidi gharama ya dart. Tuzitumie kujenga flyover ubungo, mwenge na tabata. Pia reli ifufuliwe, tusikomalie elimu bure tu.