ONGEZEKO LA BEI YA UMEME NI 18% or 50%? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ONGEZEKO LA BEI YA UMEME NI 18% or 50%?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Masakata, Jan 17, 2011.

 1. Masakata

  Masakata JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Hebu watz wenzangu 2jadiliane kuhusu ongezeko la bei ya umeme,mi nadhani ongezeko ni 50%,kwanini nasema hivyo,kabla nilikuwa nikitoa elfu kumi ya tz,nilikuwa napata units 64 kwa mwezi(hapo including charges zote),ila juzi jmoc nimetoa elfu kumi ya tz,nimepata units 33 na points(+ other charges)..hebu 2tachangie wadau,ukweli ufahamike
   
Loading...