cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 162
Chief nina shida tofauti kidogomkuu pia ujue ukilock cpu muda wote iwe katika frequency kubwa na battery ya simu huisha upesi pia inaweza sababisha simu ipate joto sana
download es file explorer halafu click menu yake nenda tools halafu click show hidden files then angalia angalia kwenye mafolder ya media uone kama zitakuwa zinaonekana.Chief nina shida tofauti kidogo
Nili clear cache and data katika gallery ili kutoa picha zilizojileta zenye nembo ya picasa na nikafanikiwa kuzitoa kweli tatizo kuna picha zangu nilizo zi hidde nazo zimepotea vipi naweza kuzipata?
Tisha sana mkuu nimezipata kama zilivyo.download es file explorer halafu click menu yake nenda tools halafu click show hidden files then angalia angalia kwenye mafolder ya media uone kama zitakuwa zinaonekana.
Yes one effect of overclocking cpu ni kuisha charge kwa haraka na temperature rise so unatakiwa ufanye overclocking pale tuu unapohitajimkuu pia ujue ukilock cpu muda wote iwe katika frequency kubwa na battery ya simu huisha upesi pia inaweza sababisha simu ipate joto sana
Kama nilivyoeleza kwenye maelezo yangu mkuuUnafanyaje?
madhara si ndio hayo niliyoyataja kuongezeka joto simu na chaji kuisha upesi, kama unafanya hivyo kwa muda mfupi ili kurun app fulani kubwa (kama game) halafu baadae unairudisha kawaida sio mbaya ila ukiiacha hivyo muda wote itapunguza uwezo wa kuishi wa vifaa kama battery.Chief-Mkwawa
Kuongeza speed ya simu km kichwa cha habar kinavyoonesha kuna madhara yoyote???
mkuu pia ujue ukilock cpu muda wote iwe katika frequency kubwa na battery ya simu huisha upesi pia inaweza sababisha simu ipate joto sana
Kaz nzurTisha sana mkuu nimezipata kama zilivyo.
Nashukuru sana Chief.
Yes one effect of overclocking cpu ni kuisha charge kwa haraka na temperature rise so unatakiwa ufanye overclocking pale tuu unapohitaji
soc za simu zote hazijatengenezwa kukaa katika maximum frequency, ukiskia cpu ya simu ina 2.5ghz haimaanishi eti ina operate katika hio frequency bali hu operate katika frequency ndogo then kukiwa na task kubwa ndio huenda katika frequency kubwa mara moja kisha hurudi katika frequency ndogo kitaalamu wanaita "burst speed".Hili la jamaa sio oveclocking. Anachokifanya bado kipo ndani ya uwezo wa cpu na wala hajafanya alteration yoyote kwenye cpu clock. Amachofanya yeye ni kuiambia cpu isijali power management tu. So kwa hii haitakuwa na effect ya overheating.
soc za simu zote hazijatengenezwa kukaa katika maximum frequency, ukiskia cpu ya simu ina 2.5ghz haimaanishi eti ina operate katika hio frequency bali hu operate katika frequency ndogo then kukiwa na task kubwa ndio huenda katika frequency kubwa mara moja kisha hurudi katika frequency ndogo kitaalamu wanaita "burst speed".
cpu ya simu ikikaa kwa muda mrefu katika high frequency kunatokea kitu kinaitwa throttling na kupunguza frequency zile. hakuna simu yoyote duniani inayoweza kumantain frequency zake kwa muda mrefu, hata laptop pia hupata shida vitu kama desktop au datacenter ndio vinaweza kumaintain frequency kwa muda mrefu sababu vina cooling nzuri. angalia hii graph inaonyesha snapdragon 800 kwenye nexus 5 na samsung note 3
snapdragon 800 ina operate katika maximum frequency ya 2.5ghz, ukiangalia hio graph nexus 5 inachemka baada ya dakika 1 tu inashuka frequency hadi 1.6ghz na baada ya dakika 3 na kidogo imeshuka kabisa, note 3 imejitahidi kidogo lakini still nayo baada ya dakika 3 imechemka,
hii ni kawaida kwa simu haziwezi kumaintain frequency yake ya juu kwa muda mrefu, hivyo unapoiforce kukaa katika frequency kubwa kwa muda mrefu lazima overheating itokee
mimi kwenye comment yangu sijamention kokote overclocking nazungumzia hio speed ya kawaidaSio simu tu, hata computer yoyote hazijatengenezwa kuoperate katika max speed. Hizo zote ni issue za power management na kuzibadili wala hazihitaji nguvu nyingi maana settings hizo kwa computer zipo na ni accessible. So heating itakuwepo lakini sio overheating.
Sasa issue ni kwamba kama cpu inaoperate katika 1.3 Ghz max , it mean it can afford that temperature (heat disipated) na kama.
Ila kama ni overclocking, hii ni kitu advanced na sio issue ya kubadili kwa application software na normal user hawezi fanya. Overclocking inaweza leta madhara ya overheating kama hutochukua precautions.
i kind of disagree this one kidogo....s4 mini yangu ilikua inachemka balaa kila iki run kwa mda kadhaa nikafanya yote lakini wapi majuzi tu nimefukunyua kernel setting za ndani na kifanikiwa kuilock core kwa max. 594Mhz min.162Mhz(haina lags hata kidogo kwa matumizi ya kawaida)Hili la jamaa sio oveclocking. Anachokifanya bado kipo ndani ya uwezo wa cpu na wala hajafanya alteration yoyote kwenye cpu clock. Amachofanya yeye ni kuiambia cpu isijali power management tu. So kwa hii haitakuwa na effect ya overheating.
umetumia program gani mkuui kind of disagree this one kidogo....s4 mini yangu ilikua inachemka balaa kila iki run kwa mda kadhaa nikafanya yote lakini wapi majuzi tu nimefukunyua kernel setting za ndani na kifanikiwa kuilock core kwa max. 594Mhz min.162Mhz(haina lags hata kidogo kwa matumizi ya kawaida)
kiukweli overheating naisikia katika bomba sa ivi hata nishinde neti mda wote...temp is around 37 wakati mwanzo ilikua inafika mpaka 46'C