Kuna kula na kulala,
Kuna tanga na tangawizi,
Kuna lima na limao,
Kuna uji na ujinga,
Kuna pumba na pumbazo,
Kuna mate na matembele,
Kuna kiu na kiulizo,
Kuna jamba na jambazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.