"Ongeeni midomo isiwanuke. . ."

Achana na Byshanga. . .vijipesa vyake tu vinampa kichaa
maana hajapata waku'chop his money'.
Teh dawa yake ni kumkaribisha halafu akiingia ndani unamfungia kwa nje ajiju....
 
Achana na Byshanga. . .vijipesa vyake tu vinampa kichaa
maana hajapata waku'chop his money'.
bishanga haongi hela,anachofanya ni kukubwagia roho yake uifanye unavyitaka.
 
Achana na Byshanga. . .vijipesa vyake tu vinampa kichaa
maana hajapata waku'chop his money'.
bishanga haongi hela,anachofanya ni kukubwagia roho yake uifanye unavyotaka.
 
wajameni mbona watu wa jf wote mnaongea kwa mafumbo kana kwamba

yale ambayo mwafahamu kila mtu afahamu, sasa kukuuliza kama upo interested natafuta ugomvi gani?
Hahahaaaa Erotica kwani nimeongea mafumbo jamani lol
Ila mafumbo yana raha yake....teh teh
 
Last edited by a moderator:
bishanga haongi hela,anachofanya ni kukubwagia roho yake uifanye unavyotaka.
Hahahaaa Bishanga ndo maana Eliza wa Tegeta akakufanya ukabaki unalia na moyo
Lol hujakoma tu?
 
Last edited by a moderator:
Teh dawa yake ni kumkaribisha halafu akiingia ndani unamfungia kwa nje ajiju....
embu nambie Erick,katika mtanange huu we umekaa jukwaa gani?
Halafu konnie mbona kawa bubu ghafla?
 
tuje tutafute jina la mama ake
afu nikufundishe jinsi ya kumwita romatically kwa kiyunani.

Kweli hapa unaelekea kuiva sasa.

Najua hilo wifi ila haina maana sitaki kusikia nikiambiwa when I make an effort.

Embu niangalie tena Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa Bishanga ndo maana Eliza wa Tegeta akakufanya ukabaki unalia na moyo
Lol hujakoma tu?
acha na E wa tegeta,anapenda wanasiasa yule,si unaona alini dump akaenda kwa MMJ?
 
Last edited by a moderator:
Lizzy unaingilia ajira za watu ,kina Isha Mashauzi watakosa ajira yaani hivi hivi,
 
embu nambie Erick,katika mtanange huu we umekaa jukwaa gani?
Halafu konnie mbona kawa bubu ghafla?
Hahahaaaa Bishanga siunanijua mi siku zote mtazamaji?
Ila ukihitaji msaada ntaangalia namna ya kukusaidia ila kwa sasa naepusha msongamano lol
 
Last edited by a moderator:
acha na E wa tegeta,anapenda wanasiasa yule,si unaona alini dump akaenda kwa MMJ?
Teh halafu mbele za watu lol
Nawewe ukaamua kuzama zako Unga naniii halafu usivyo na bahati ukachelewa...
Teh next time tanguliza mamluki kwanza ndio utie timu.....Mwambie @ kongosho akufundishe maujanja
 
Just a minute nibonge na Erickb52 kanivutia!!
Hahahaaa phina jumapili kanisani mchungaji atakumaliza aiseee hahahaaa
Hivi bado anawatandika bakora hadi leo?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa sawa uniandalie kipande cha nyama choma aisee maana nshakuwa mmasai siku hizi....
Utanirushia chap chap siunajua zina raha yake...

Ndo usisahau kunipungia sasa.
 
Teh dawa yake ni kumkaribisha halafu akiingia ndani unamfungia kwa nje ajiju....

Hahahahahah. . . na sisi tutala wapi? Labda nimdanganye twende gesti.
 
Lizzy unaingilia ajira za watu ,kina Isha Mashauzi watakosa ajira yaani hivi hivi,
FirstLady1 huyu Lizzy kwanza asipokuwa makini atashangaa sauti imekauka siunajua vipapai vyao huwa ni kuondoa vitendea kazi? Anachezeya hawa jamaa lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah. . . na sisi tutala wapi? Labda nimdanganye twende gesti.
Teh teh unampeleka chumba cha wageni....kwani anakujua cha wenyeji? Hope hakijui lol
Akiumwa na njaa masaa 24 ndio atashika adabu na hutamwona anabadili Location tena hahahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…