Ongea ya Mbowe na watu kukaa kimya

Labda huwa ana matunguri yake,hatuwezi jua sisi.
 
Aghalabu haya ni matokeo ya kipaji na ukweli kubusiana mwaa! Mwangwi wa hilo huugusa kila moyo wa aliye mbele ya fanani.
 
Aghalabu haya ni matokeo ya kipaji na ukweli kubusiana mwaa! Mwangwi wa hilo huugusa kila moyo wa aliye mbele ya fanani.
Dah! Umenikumbusha form two mambo ya fasihi andishi na simulizi.
 
Mbona hata akichangia mada bungeni vivyo hivyo bunge hutulia hata pinda huwa anaacha kuandika
 
Kati ya watu wenye hotuba mbovu ni Magufuli na Kikwete. Hoatuba zao hazina mbele wala nyuma ni vijembe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…