eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
WanaJF,
Ni mara ya tatu katika mikutano yake ilianza kule Mbeya ikaja Arusha na jana Mwanza kila ikifika muda wa mwenyekiti wa CHADEMA kuongea hata kama watu walikuwa wakisemezana basi wananyamaza ili kutega sikio lao kumsikiliza huyu jamaa. Nimekuwa najiuliza kwanini ila sijapata majibu halafu ni yeye tu uwanja unakuwa tulivu mpaka nashangaa.Ukiacha baba wa taifa yeye ni wa pili watu wote wanakuwa makini kumsikiliza, kwanini inakuwa hivyo?