GE2025 Onesmo: Vyama vya Siasa tusibezane wala kugombana

GE2025 Onesmo: Vyama vya Siasa tusibezane wala kugombana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Ndugu. Onesmo ole Bulumwa amezungumza hayo baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza na kutoa salamu kwa wanachama na wajumbe waliofika katika mkutano huo Mlimani City Jijini Dar es salaam.

Kwanza kabisa Tunapenda kuwapongeza chama cha ACT kwa uzalendo kwa kuendelea kutambua Sector Binafsi hasa linapokuja suala la haki za Binadamu, pia na sisi kama asasi za kiraia tumefurahishwa na hiki mnachokifanya na kutupatia nafasi ya kuwakilisha wengine.
 
Back
Top Bottom