Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,874
- Thread starter
- #21
si tabia nzuri,inaumiza na kuoneysha humthamini na kuheshimu muda na uwepo wa boyfriend....natumai alimwonya kwanza, manake kuna watu wana mazoea hayo,ni vizuri kumrekebisha kwanza then akiendelea basi hatua kama hiyo inamstahili.....!
Kwa hiyo jamaa kampatia adhabu stahiki au sio?