Nipo hivo kumoyo na kuroho shem na anawazidi kweli hana mpinzani nikianza kumenshen sifa zake hapa nitajaza ukurasa kubwa kuliko yote hana unafiki yuko very open and i love thatKama hivi uandikavyo na kumoyo kupo hivyo , basi huyu mwanamme mwenzetu kiwatengu kipo kitu anatuzidi .