One year after disappearance, CPJ calls for credible investigation into Tanzanian journalist Azory Gwanda's fate

Mnachosahau hao wazungu hata likipotea bara zima la Afrika hawatajali, 98% ya wazungu hawana uchungu hata kidogo na mtu mweusi. Ndo maana tunamshangaa huyo Lissu kukimbilia kwa wazungu akidhani watamsaidia lolote. Wao wanaangalia maslahi tu,kama maslahi yao hayajaguswa hata ushinde kwenye korido za white house mwezi mzima ni kama unampigia mbuzi gitaa.Kazidiwa hata na dogo Bobby Wine anakomaa humo humo Kampala alipo Museveni.
Atapata nafasi yake. Wako busy na ratiba nyingi. Pia huyu rais ana mambo mengi ya kudeal nayo. Ana kesi kibao. Pia na yeye hana mwelekeo wa kidemokrasia kwa viwango vinavyotakiwa.

Wazungu pia hawawapendi waarabu, lakini kuna namna wanahitajiana na “kusaidiana”, ndivyo dunia ilivyo. Siyo kutafuta kupendana, utaumia!
 
Mnachosahau hao wazungu hata likipotea bara zima la Afrika hawatajali, 98% ya wazungu hawana uchungu hata kidogo na mtu mweusi. Ndo maana tunamshangaa huyo Lissu kukimbilia kwa wazungu akidhani watamsaidia lolote. Wao wanaangalia maslahi tu,kama maslahi yao hayajaguswa hata ushinde kwenye korido za white house mwezi mzima ni kama unampigia mbuzi gitaa.Kazidiwa hata na dogo Bobby Wine anakomaa humo humo Kampala alipo Museveni.
Cheap, devilish,senseless and stupid thoughts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Africa tu, kuna tatizo kwa rais aliyepo wa USA. Hata kuhusu shambulizi la Kashoggi, Congress bado inambana ayalaani mauwaji yale na kuchukuwa hatua. Kwahiyo wabunge ni watu wa muhimu usisahau. Usijidanganye kabisa kuhusu siasa za marekani. Wale hawana viongozi madikteta! Hata kina Saddam walishuhudia marais wengi tofauti wa Marekani, tena wengine walishirikiana naye kabisa!

Think more without blindsiding yourself with bias.
lam not bias but I don't want to involve myself with Tribalistic politics like you.Sitaki kuunga mkono hoja zako kwa mtu kupotea na kulaumu polisi.lam not like you!
 
Home Affairs Minister Kangi Lugola was dismissive when questioned about Gwanda's disappearance, and days later suggested he might have run off because of family problems, according to reports by The Citizen.

Watanzia Tuna dharaulika sana
 
How is it “tribalistic politics”to demand investigations? Is there something I’m missing here?🤷🏾‍♂️
 
Home Affairs Minister Kangi Lugola was dismissive when questioned about Gwanda's disappearance, and days later suggested he might have run off because of family problems, according to reports by The Citizen.

Watanzia Tuna dharaulika sana
Yani jibu la Kangi Lugola lilikuwa la kijinga kupita maelezo! Kweli ndo maana tunadharaulika! Imagine hayo ni majibu ya waziri mwenye majukumu ya ulinzi wa wananchi!😳
 
Wauaji maskini hawana hoja , hivi unaweza kutetea uongo .mwiba mwingine kwa serikali ya mazwazwa na hivi yamejazana top down ,haya aelezeni alipo na mseme uchunguzi umefikia wapi . au nayeye CCTV kamera hazikuwepo na ulinzi haukuwepo au uliondolewa .
 
Wamejisahau sana!
 
Back
Top Bottom