mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
hawa jamaa naona kila siku wanapandisha bei kidogo,
-one plus one ilikuwa dola 300
-one plus two ilikuwa dola 330
-one plus three ilikuwa dola 400
hii oneplus 5 ni dola 480 sasa, soon watakuwa hawana tofauti na makampuni makubwa.
hapana simu zao sio bora kuliko makampuni makubwa, wana advantage ya bei tu pamoja na kuweka specification za high end.Lakini wana simu bora zaidi ya makampuni makubwa mengine. Acha wafaidi matunda ya ubora wao.
me naona pia dola 400 is still cheap uki'compare na other high end phones.hawa jamaa naona kila siku wanapandisha bei kidogo,
-one plus one ilikuwa dola 300
-one plus two ilikuwa dola 330
-one plus three ilikuwa dola 400
hii oneplus 5 ni dola 480 sasa, soon watakuwa hawana tofauti na makampuni makubwa.
kwa kawaida cost zinashuka unapotengeneza simu zaidi au kuwa maarufu, sababu hata wale wanaotengeneza vifaa nao wanakuwa na uhakika kuwa ni mteja.me naona pia dola 400 is still cheap uki'compare na other high end phones.
pia ilikuwa wakati sahihi wa One Plus kutoa premium brand ambayo inaweza kuleta ushindani kwa brand kama iphone na Samsung.
pia ikumbukwe cost za uendeshaji zinaongezeka year on year. Cost za 2017 haziwez fanana na za 2015.
Sio kweli bro,, nina simu ya hiyo kampuni,, ina kamera nzuri,, na inapiga picha na selfies vizuri sana,, kuliko unavyofikiria,, haina tofauti na hizo samsung na iphone,, try it!hapana simu zao sio bora kuliko makampuni makubwa, wana advantage ya bei tu pamoja na kuweka specification za high end.
ukija vitu vyengine kama camera na display oneplus hawezi fikia kampuni kama samsung,
simu zao ni kwa ajili ya geeks ambao wanataka specs kubwa bila kujali mambo mengine kama camera.
Nahisi unaiminisha Vivo x5 wala sio vevoKuna simu inaitwa vevo x5...kuna MTU anaijua ii simu,..!?
karibia zinafanana kila idara cpu, gpu, ram, etcChief hiyo Oneplus 5 uki-compare na Xiaomi mi6 kwa kuangalia performance, materials na price
Which is the best choice?
Nahisi unaiminisha Vivo x5 wala sio vevo
Huku zinapaikana kwa nadra kuzijua hizi ni ku-google tu
Lakini hii x5 uliyoisemea ni ya zamani kidgo 2014 sio latest sanaVivo sorry,bonge ya cm,..aseeh
Lakini hii x5 uliyoisemea ni ya zamani kidgo 2014 sio latest sana
We nawe umeshakaririshwa Iphone tu hadi uwezo wa kutambua kipi bora umeshapoteahizo sio simu za kushindanisha na iphone
moja ya sababu inayozifanya ziwe bei rahisi ni kwamba zinauzwa online tu, wangekua na physical store, wakafungua na vituo vya huduma kwa wateja na mambo yahusianayo bei ingepanda.hizi kama zingekuwa zinaingia kwa wingi hapa bongo sidhani kama tungenunua samsung,lg,htc na sony
kwanza simu zao ni bei rahisi,RAM wanaanza na 4gb na kuendelea.
Tatizo sijajua kwanini hawa wafanyabiashara hawazileti hizi simu