Olliver Seid
Member
- May 12, 2017
- 51
- 125
- Thread starter
- #21
Seco toka lini ikawa ya wakenya!?hapo msa kjna dock 2,african marine na seco,wakenya hapo kazi zao kupaka rangi tu,dock za wataliano na tena wanawapiga mpk vibao wakenya,hamna sehemu wakenya wananyanyaswa km kwenye hizo dock
SECO is nothing,it's just a small fish.It is one of the conglomerates of Alpha Group of Companies who have had 60 years of presence in Africa! It's headquartered in Mombasa.