nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
I am sure once in a while unakutana nayo ukubwani
only una handle better......
kuna research ilisema mzunguko wa yai la mwanamke unaweza mpa mitihani
kuna atraction zinakuja mwanamke yai likiwa limesimama tayari kwa kupokea mbegu...
wengi hawajui....[/QUOTE]
smooth operators ni wa kuwakimbia kama ukoma....
hebu take hiyo risk kwangu, tuone itakuwaje....
baba alinikataza
niliwahi kupitia hii kitu mara kadhaa, ni sheeedah, asikwambie mtu!
hata mimi mama alinikataza, tunajaribu tu...
mm n ME ww je? ni Me au Ke!?Napenda kutambua uwepo wako.Je wewe ni ke au me?
One night stand....
iliniwehusha nkavua engagement ring nikamrudishia mwenye nayo
na wala sijutii kabisa!!!
Nilijaribu kwa mwingine, so boring, dont want it again
ila mi sio mwingine, mi ni Evelyn Salt....