One-night stand

Orait. Najifunza, mimi mwanafunzi. Hivi kufall kunaanza baada ya mchakachuog?g!!
inategemea na huyo mtu uliyekutana naye in some cases wengine hata number za simu hawabadilishani...sasa kufall in love hapo pagumu..na kama mkiwa mnajuana na mkaamua kuchakachuana basi mtakuwa mlikuwa mnatamaniana tangu zamani ila mlikuwa mnaogopana kuambiana.
 
Wewe ndo umesema uzuri.
Katika hali ya pili kuna uwezekanwo wa kuliendeleza kwa mwendo kasi mtoroko.
 
hivi watu wanafall kwa sababu ya mchakachuo au kwa sababu ya chemistry kati ya wahusika?
 
Unaweza kuuliza hilo swali tena na tena. Rejea post zangu hapo juu.
Mchakachuo wa watu wanaojuana unaweza kupelekea kwenye kufall fasta.....
 
Originally Posted by Bigirita
Mchakachuo wa ukweli = uwezekano mkubwa wa kufall coz mnogeo unahusika

Habari ndo hiyo!

Kwahiyo hii inaweza kuwa njia moja nzuri kwa wale wanaotafuta wapenzi/ "wanaotaka kufall" ???
 
Hehehe!Japo ONE NIGHT STAND can turn into I DO hushauriwi kuitumia kama njia ya kupata mpenzi!
 
i c! labda as a last resort.....kwa wanawake wenye umri wa atleast 30yrs na wanaume atleast 35yrs...au unasemaje Lizzy?
 
Wewe ndo umesema uzuri.
Katika hali ya pili kuna uwezekanwo wa kuliendeleza kwa mwendo kasi mtoroko.
Aisee hyo red imenikumbusha dear Nelkon na yule mwenzie sijui Abot........mambo ya escape velocity......dah safi sana.
 
Back
Top Bottom