Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...
Partner embu toka hapo nje tuongee...nimesimama hapa barazani!
i am thinking this thread has come too soon lol
Asha D umenikumbusha yule mdau aliyenzisha sredi akitaka kujua kama mtu unaweza kuwa attracted na mdau mwingine kwa maandishi yake tuu, i.e kusoma posts zake. Mwingine akasema hata avatar inaweza ku-shed some lights.
Ndio kabisa, unakuwa attracted ila kimoyomoyo sio kila kitu kinachokuattract ukifatilieAsha D umenikumbusha yule mdau aliyenzisha sredi akitaka kujua kama mtu unaweza kuwa attracted na mdau mwingine kwa maandishi yake tuu, i.e kusoma posts zake. Mwingine akasema hata avatar inaweza ku-shed some lights.
Hahahhaha...yani juzi tu kashakamata mtu!!Hatari hiii sasa!!
Asha na avatar za picha halisi je? maana naona wengi picha si zaoEMT belive me the Avatar tell you a lot about a person... bahati mbaya unaweza kua wrong kabisaaa au uka hit jackpot!
Nitamkomesha kwenye hiyo nite stand ili apunguze wingi wa thread, si baada ya night stand atapotea kidogo?
Ndio kabisa, unakuwa attracted ila kimoyomoyo sio kila kitu kinachokuattract ukifatilie
Too soon after the nite stand or beforei am thinking this thread has come too soon lol
Hujawahi kumtamani rafiki wa mkeo au GF na ikabaki hivohivo wala usiseme milele? na humu hivohivo mie namtamani buji kweliKimoyomoyo attraction. Labda hizo ndio zinalead to one night stand?
Mume na mke?????? sidhani
too soon after the nite stand or before
mkuu na wewe ulikuwa unatafuta hiyo??
Asha na avatar za picha halisi je? maana naona wengi picha si zao
Orait, kwa maana hiyo, one nite stand haiwezi kutosha kufanya majumuisho! One nite stand sio experiment nzuri coz specimen,at least one of them is set to default, that is hit and f.uck off.
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?
Kweli kabisa AshaDIla hao mimi ndo na admire kuliko woote, it is a gurantee kua hawana la kuficha...