One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
ndo tunatoka kukamuana na memba mwenzangu kisha ananiambia alitaka kuonja tu kama wana JF tunajua mapenzi kama tunavyo andikaga. Najihisi kudhalilika maana nimepiga kimoja tu nkalala. Nahisi ni zile pombe za happy hour holiday inn
 
Kwa hiyo alifuata maanshi yako sio?
 
Labda kama ulifanya hyo 1 nyt stand iwe 1 nyty war stand, coz cku izi hamna kununiana kma hukuvunja sheria,so PM kma kawa na mishe ztaendelea, maana bandugu banafanyia vita,ikipatika itatumika vilivyo,
 
[aya mambo mengine ni vigumu kuyaongea.
Kila mtu kisha wahi kupitia one night stand, regard the less kama na Memba wa JF au la
Mkipiga show, mnabaki marafiki huku uhusiano ukifa taratibu]

How dd u know?
I think unaongea from experience maana ni kweli
 
Ilikuwa tofauti, tofauti sana.
Vitana mnataka wenza kila mahali, hata chooni. Kuweni waoga kidogo, mnaweza kuacha kutamani hovyo hovyo.
1 nite stand inaweza kuwa lisence to unknown!

Nimekusoma mjerumani!
 
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...

Hahaha, au ww ndo wale unaweza mfuata kwa nyuma from kkoo to posta, akigeuka tu, unatoa shikamoo!
 
Hahaha, au ww ndo wale unaweza mfuata kwa nyuma from kkoo to posta, akigeuka tu, unatoa shikamoo!

Ingekua hivyo mbona ingekua raha! Hamna kifaa chochote kinauza kwangu... maana vyoote vya kuvutia vimekongoroka...
 
Ingekua hivyo mbona ingekua raha! Hamna kifaa chochote kinauza kwangu... maana vyoote vya kuvutia vimekongoroka...
Wewe tu na roho yako siku hizi wamama hawazeeki kabisa ni kujipenda tu
 
Wewe tu na roho yako siku hizi wamama hawazeeki kabisa ni kujipenda tu

Dear ningesema bado ni mrembo na naweza pata a one night stand kila siku that day,
ningeleta havoc m-thread ulienda kwa kasi! Wangenichamba....lol...
Nikaepusha shari... like i said i love being a woman and it's related pressures....
Pitia this link (am not sure kama ulipitia but am reminding you...)
my life i live to the fullest weneva possible...lol

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/137554-live-you-life-to-the-fullest.html
 
bora nusu shari, nimebandika ki quote changu hapo kwenye link
 
bora nusu shari, nimebandika ki quote changu hapo kwenye link

Ha ha ha ... ingawa wengine wanaamini vingine lakini last time nilifuata hivyo...lol
But naanza kubadilisha mawazo in courtesy ya EMT..

Heri shari kamili kuliko nusu shari - EMT

Ha ha ha ... ingawa wengine wanaamini vingine lakini last time nilifuata hivyo...lol
But naanza kubadilisha mawazo in courtesy ya EMT..

Heri shari kamili kuliko nusu shari - EMT

EMT utamuweza kwa kupenda kinyume, kwenye kiswahili alipata A
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…