One month from today...

 
TUPO WENGI.......Compaq.....πŸ™πŸ™

wengine hawajaamua kuwa wazi tu.....mi nimejitoa mhanga


hebu nawamwage data hapa tuone my JF ratings ahahahahha... I could change my mind!!!
 
Hongera Shishi, na nakuombea kwa Mola akunyooshee mambo yako, na pia muwe na mwenza wako katika amani mpaka siku. Sijui nikujulishe Mke wangu akupe ujuzi wa kuishi na hii "species", mwanaume.


Thanks alot.....bwana we naona unijulishe kwa memsab nipate 411
 
As usual will gate crush, sihitaji invitation!
 

Hongera sana mdogo wangu. Nakutakia kila la heri kwenye ndoa yako. Upate kufurahia maisha kama tunavyotesa sisi; na usipate taabu kama yule shoga yake FL1. Inshallah, tutakuombea mambo yake yaende poa!!

Kwa nini usije na kitu kipya kabisa (ukatoka kivyako vyako), kwa kafanya Bedroom party, ili wote tuhudhurie (sisi na ninyi) na kukupa tips. KPs are biased ila BP itakuwa balanced kwakni utapata pande zote mbili za shilingi. Unaonaje?πŸ™„
 
hongera shishi ....may it be filled with joy
 
hebu nawamwage data hapa tuone my JF ratings ahahahahha... I could change my mind!!!

There she goes, hahahahah

Hongera Shishi.

Online kitchen party sounds great.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…