One mad country on earth!

Ukimtanguliza Mungu na akafanya maajabu yake,hakuna msomi anaeweza elezea kilichofanyika.Thats GOD ALMIGHTY.
Huyo gos almighty kawasaidia kutandika watu risasi za moto kwenye moyo huko Zenj
 
Corona ipo nchini!Kama haipo kwanini hawapimi?
Mkuu kupima wanapima ila uwe unasafiri nje ya nchi. Siku nimeenda kupima watu wote walikuwa negative,na hapa nazungumzi watu zaidi ya mia 300 per day
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah.

Umenikumbusha kuna mgonjwa wangu alikuwa anapumulia mashine.

Ngoja nitafute habari za maendeleo.

Halafu tunaambiwa hakuna wagonjwa wapya.
Week moja iliyopita maeneo ya Bunju amezikwa mmama mmoja alikuwa na dhida ya kupumua
 
Sijui wenzetu wanatuonaje. Yaani amefanikiwa kutufanya WA Tanzania wote washamba kama yeye.
 
Week moja iliyopita maeneo ya Bunju amezikwa mmama mmoja alikuwa na dhida ya kupumua
Kwa mujibu WA MTU wetu hiyo sio Korona na ukijaribu kupiga makelele utabambikiwa kesi ya uhujumu uchumi.
 
only blessed country worldwide Napishana na wazungu huko mitaani wakiwa na raha sana huku wakiwa out of barakoa ila kuna vichina na viindi vichache utavikuta na barakoa si dhambi kuvaa barakoa maana kabla ya corona wapo waliokuwa wakivaa barakoa kwa ajili ya kujikinga na vumbi na mengineyo
 
hata mi nawaonaga mkuu!.. wanadunda tu kavu kavu halafu hawawazii,
 
Mabalozi wakizungu nawaona wanatembea bila BARAKOA sijui wanameza vidonge vya kinga??
 
Kwahiyo dokta watanzania tuna kinga fulani kwenye miili yetu na ni Asymptomatic lakini Kenya,Uganda,Rwanda Burundi na majirani wengine Sio/hawana kinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…