Hawa wote ni mamc wakali sana ila one sio wa kumshindanisha na stereo, me nazani one anatakiwa kusimama na mamc kama nikki mbishi na fid q, sema tu one hajajikita sana kwenye muziki kama ilivo kwa nikki na fid q hawa wamekuwa wanakitoa nyimbo mara kwa mara, nakumbuka fid mwenyewe alishawahi kusema kuwa one sio mtu wa kawaida ni genius kwa kuangalia utunzi wake na flow