One cpu two screen display

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
Wakuu naona leo nimekuwa mshamba, hivi unawezaje kulink cpu moja kwa desktop mbili? Kama hivi ImageUploadedByJamiiForums1401155388.453464.jpg

Najua wako waliosomea haya mambo, ila kuwa mtu layman yani yule ambae anajua basics tu anafanyeje?

Na pia kuna ofisi nilienda kuna kifaa unapachika laptop ikiwa sleep mode na bado unaitumia kwa kutumia desktop, kwa mfano kuedit data za laptop, add or delete..nikashangaa aisee!!

Dah kweli kila mtu na fani yake
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
Inawezekana
Mashuleni Monitor nyingi zaidi zaweza kuunganishwa katika PC moja. Ila hapa kuna mahitaji mengine ya ziada

Mkuu kuna hivi vifaa nimeona, kwa vile bado naitumia hii mashine ngoja nikupigie picha kbs
ImageUploadedByJamiiForums1401159772.129899.jpg

Yani mouse moja, key board moja na unadrag chochote toka one side to the other kitahisi tu ni kama screen moja
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
It works like this ImageUploadedByJamiiForums1401160617.191705.jpg
So kwa watu wanaofanya ishu zinazohitaji display kubwa ama kuwa na source and destination, hii linking ni nzuri sana
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
Na pia kuna ofisi nilienda kuna kifaa unapachika laptop ikiwa sleep mode na bado unaitumia kwa kutumia desktop, kwa mfano kuedit data za laptop, add or delete..nikashangaa aisee!!

Dah kweli kila mtu na fani yake

kuhusu laptops kuna kifaa kinaitwa docking station ambapo unaiweka laptop then hapo kwenye hiyo docking station kuna ports nyingi za ku connect usb, mouse etc..., Ni rahisi haihitaji software yoyote Ili mradi uwe na hicho kifaa
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
It works like this View attachment 160763
So kwa watu wanaofanya ishu zinazohitaji display kubwa ama kuwa na source and destination, hii linking ni nzuri sana

hapo desktop moja inatumika Kama projector.., unavofanya connections unaenda kwenye projector options zipo options Kama nne hivi,
i. computer only
ii. duplicate
iii.extend
iv.projector only

ili kupata hiyo option huwa ipo kwenye functions keys Mara nyingi f4 au f5 (zinatofautiana kulingana na computer)

kwa case yako unachagua extend hapo utaweza kufanya kazi zako kwenye screen mbili

nadhan nimeeleweka
NB: pia hii haihitaji software yoyote...
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
WaMavoko kawapa pages za kusoma sema watanzania wavivu sasa nimeanza kuona comment hadi za kuwadanganya kua mnahitaji kifaa flani kwenye laptop.... Hauhitaji kifaa chochote kwenye laptop, laptop zote zina sehemu ya kuchomeka VGA port, twende kibongobongo zaidi, kuna laptop zenye HDMI port pia sema tusiende huko yasije yakaja maswali mengi mno....
VGA port ni sehemu unayochomeka monitor, ukishachomeka monitor washa mashine yako, mashine nyingine zitaigawa desktop automatic, nyingine zitadisplay kitu kimoja kwenye screen zote mbili, nyingine inawaka moja tu, hili lisikupe shida, washa ifike hadi kwenye desktop, nenda control panel, appearance and personalization afu tafuta adjust screen resolution... Ikifunguka hii sehemu utaona screen mbili, hapo sasa unaweza chagua resolution, ipi ikaw kulia, kuahoto, juu au chini, afu kwenye sehemu ya multiple displays utachagua eithr extend desktop, manake unagawa unakua na desktop mbili tofauti, ile ya pili kuitumia mfano iko kulia basi unapeleka mouse kulia inaingia kwenye monitor ya pili......

Kwa desktop computer utahitaji port nyingine ili uweze kuchomeka monitor yako ya pili. ukishapata procedure ni the same

Afu kuhusu Sleep mode ati laptop inafanya kazi, si kweli... alichofanya ni aliset kua akifunga laptop yake basi isilale, iendelee tu kufanya kazi, sasa kwa kua kaconnect multiple displays anauwezo wa kutumia ya pili bila shida... huwezi ukaweka laptop skeep mode afu ukaitumia hata siku moja, code ya operating system haijaandikwa hivo...
 
mkuu kwa issue ya laptop nimemjibu kulingana alivouliza.., obviously alichoona yeye laptop ipo kwenye docking station hiyo option ulotoa Wewe it's possible pia hata kwa hdmi it's possible pia wala cjamdanganya but sikutaka kumpa maelezo tofauti na alichoweka akilini mwake tayari.....
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
Asanten sana wakuu, najua itasaidia wengi. Ila swali langu ni moja, kwnye projector-je inaweza kufanya kama hii picha kwa kuapply knowledge ya kuproject pekee? ImageUploadedByJamiiForums1401172486.821841.jpg

Anyway huenda mi kichwa kigumu ila nijuavyo, projector inadisplay screen zote mbili kwa picha inayofanana na sio kama hiyo hapo juu
Nimeeleweka??
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,080
2,000
It works like this View attachment 160763
So kwa watu wanaofanya ishu zinazohitaji display kubwa ama kuwa na source and destination, hii linking ni nzuri sana

kaka kama una mashine ya win8/8.1 hiyo feature ni built in. windows 8 ipo vyema kwenye kuonesha picha kubwa kwenye monitor nyingi na sio lazima cpu ya desktop tu hata hivi vitablet vyao vidogo vya inch 8 ambavyo unavipata hadi dola 199 vinaproject fresh tu.

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,943
2,000
kaka kama una mashine ya win8/8.1 hiyo feature ni built in. windows 8 ipo vyema kwenye kuonesha picha kubwa kwenye monitor nyingi na sio lazima cpu ya desktop tu hata hivi vitablet vyao vidogo vya inch 8 ambavyo unavipata hadi dola 199 vinaproject fresh tu.

Sawa sawa mkuu, hiyo idea nakubaliana nayo kabisa! Ila nikuulize swali kaka; mimi nimeexperience kitu ambacho huenda sijaeleweka. Katika screen hizo mbili yani unaweza ukafanya kazi independently kabisa, je kwa kutumia feature ya projector hilo lawezekana? Kwa sababu nijuavyo projector inatumia the same display kuonesha kwenye screen ingine. Hii nilouliza mm ni kitu tofauti, yani cpu ni moja na screen mbili zinaonesha tofauti na unaweza fanya vitu tofauti kbs
 
Ndio unaweza ukawa na workspace mbili tofauti, moja kwenye screen yako, nyingine inatofautiana ipo kwenye projector.... Nadhani ndicho unachouliza.. projector inatambuliwa na computer sawa na display nyingine tu... nmetumia
 
karimt

Member
Jun 28, 2013
19
45
Najua wako waliosomea haya mambo, ila kuwa mtu layman yani yule ambae anajua basics tu anafanyeje?

Na pia kuna ofisi nilienda kuna kifaa unapachika laptop ikiwa sleep mode na bado unaitumia kwa kutumia desktop, kwa mfano kuedit data za laptop, add or delete..nikashangaa aisee!!

Dah kweli kila mtu na fani yake[/QUOTE]
Mtoa mada unaweza tumia kifaa kinaitwa vga splitter hicho kinakuwezesha hata kuconnect screen 20 kwa kutumia cpu moja. Vingi kati ya hivi vina ports kati ya nne mpaka 8. Utahitajika kuwa na vga cable pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom