Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,069
- 8,326
Wakuu naona leo nimekuwa mshamba, hivi unawezaje kulink cpu moja kwa desktop mbili? Kama hivi
Najua wako waliosomea haya mambo, ila kuwa mtu layman yani yule ambae anajua basics tu anafanyeje?
Na pia kuna ofisi nilienda kuna kifaa unapachika laptop ikiwa sleep mode na bado unaitumia kwa kutumia desktop, kwa mfano kuedit data za laptop, add or delete..nikashangaa aisee!!
Dah kweli kila mtu na fani yake