One and only

One and only

MAPOUDA

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
446
Reaction score
296
Habarini wana Jf,

Nachukua nafas hii kuwa shukran kwa wale walio nitafuta baada ya kuandika kwamba nahitaji mwanamke wa kubadilishana mawazo, nawapa pongezi kwao japo kwa mbali hawakuweza kujua nini na maanisha mana nilitumia lugha mkato sana ambayo unaweza ukakosa mengi naamua kumwaga mchele katika kuku wengi kila kuku adonoe.

NAHITAJI MWANAMKE AMBAE ATAKUWA ONE AND ONLY KATIKA MOYO NA NAFSI YANGU

VIGEZO:
Awe mwajiriwa serikalini katika kada hizi mwalimu, kada zote za afya, au sekta binafsi lakini awe mwajiriwa asiwe kibarua

- Elimu haimati sana
- Umri hapo ni kuanzia 24-30
- Dini awe Mwislam na kama Mkristo awe teyari kubadilisha dini
- Awe maji ya kunde au mweupe mng‘avu na asiwe anatumia mkogoro
- Asiwe anatumia aina yeyote ya kilevi
- Mimi mwenyewe sio mnene wala mwembamba ni mwajiriwa serikalini rangi maji ya kunde

Kwa alie tayari ani PM nipo sirious na sitaki masihara katika hili mana huu ni mwezi wa haki kila jema hupatikana mahala popote na wakati wowote. Hakika nafsi yangu ipo teyari kumpokea yule atakae kidhi yale niyatakayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom