lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ondoa chuki kwanza ndio uombe, huwezi kusema uombe huku sura yako imejaa visasi chuki na usuda, alafu Mungu akubali maombi yako, jifunze kusamehe, nasema jifunze kusamehe, ponya vidonda vya uchaguzi, bibilia inasema, mpende jirani yako, kama nafsi yako, bibilia inasema muombee adui yako.
Narudia tena, ondoa chuki na visasi ndio utamke uombewe.
Futa chuki ndani ya moyo wako kwa jina la yesu, la sivyo utakufa kwa vidonda vya tumbo, eti niombeeni!!!kuna Mungu anapokea maombi ya mtu Mwenye visasi?