Once CCM always CCM, eti Nchimbi ni mwema!

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,539
Reaction score
175,288
Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo?

Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii.

Upinzani umetekwa na upepo wa kipumbavu sana wa maslahi binafsi, na yenyewe kwa sababu ni viazi watupu yamejaa kama zuzu tu, gademitt yamejaa kwenye 18, takata kabisa, mchezo bado upo sisiem 🤔

Haya yanayofanyika ni kwamba maslahi binafsi tu yameshikwa, amkeni nyie vilaza, acheni kupelekwa pelekwa na matukio kama mwanasesere!

Note: Nimelewa mno hivyo unaweza nipuuzia tu mlevi mimi.
Cc. Bufa
 
Endelea kulewa, ni wapi umesikia CHADEMA wamesema Nchimbi ni mwema?, hayo ya huko hayatuhusu tuko mahakamani sisi kufuatilia kesi, mambo ya kutoana maini watoane tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…