Once again....

Once again....

hongera sana my dear, shikilia penzi jipya kisawasawa mdogo wangu! Katu mahasidi usiwape nafasi!siri zako na mpenzi wako ziwe zenu wawili tu! Usimwamini hata shoga yako! Mana siku hizi mashoga si mashoga bali ni mashoka!all the best!

teeeena! Asante my dear
 
Hongera sana..! Na kila la heri katika penzi lenu jipya..!
 
Back
Top Bottom