Once again....

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
5,302
Reaction score
9,095
Habari za asubuhi jaman...once again i wanna share this sweet en unique feelngs am feelng right now with you! I feel like am flyng witht wings, i feel yonger like a one year gal....am in love once again. ts only now that i realze that whnvr happs ts happen 4the best! am so happy
 

gud mungu azid kukubariki lol kwenye mahusiano mapya
 
Kuingia ni rahisi lakini ku maintain ndo big challenge. we wish you all the best
 
I am happy for you my dear, seize and cherish this wonderful moment coz it is a rare priveledge.
 
sasa mbona unaandika huku unarukaruka, si utulie utoe full story
 
Hongera Sana My Dear, Shikilia Penzi Jipya Kisawasawa Mdogo Wangu! Katu Mahasidi Usiwape Nafasi!SIRI ZAKO NA MPENZI WAKO ZIWE ZENU WAWILI TU! USIMWAMINI HATA SHOGA YAKO! Mana Siku Hizi Mashoga Si Mashoga Bali Ni Mashoka!ALL THE BEST!
 
kama hujui sababu zilizokufanya uwe na 'once again' basi utakuwa na 'once again' nyingine kama hutabadirika....
 
si unajua mi napenda watu wanaoanguka na kusimama na kuishi kwa furaha tena enh!
i love yu for tht!
HAPPY FOR YU!,againa and always nafkir!
 
hongera kula maisha kama meno bado iko....

Fear not when, fear not why, fear not once you are alive, because love is for living not living so tight....
So kama umependwa pendeka mia mia hakuna kuingia nusu nusu fly so high....
 
hongera kula maisha kama meno bado iko....

Fear not when, fear not why, fear not once you are alive, because love is for living not living so tight....
So kama umependwa pendeka mia mia hakuna kuingia nusu nusu fly so high....

u r completely right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…