Ona wenzetu waliko..!!

Ona wenzetu waliko..!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,519
Reaction score
7,287
105wnlk.jpg

2zob2q9.jpg

25pibd5.jpg

4uf1c4.jpg

Gonga hii link uone wenzetu walipo...Cool Amphibious Manufacturers Ie

Cool Amphibious Manufacturers Ie
 
tatizo tulipita kwenye njia ya mkato... tumetoka Ujima tukaingia ujamaa, inapidi turejee nyuma kupitia zile hatua za maendeleo, tutafika tu
 
Miaka elfu kumi ijayo tunaweza kufikia huko.
 
kuna kipindi kilikuwa kinarushwa na press tv wanaonyesha jinsi hayo mabasi yanavyo fanya kazi majini na nchi kavu nilishangaa sana.
 
Hebu tusibaki kusema wenzetu wako mbali, hili gari halikutengenezwa na raisi wa nchi..!!! hebu tufunguke; haya ni mawazo ya mtu mmoja, hata wewe ukiamua kufanya kitu inawezekana, chukua hatua...!!!
 
Sasa pale kigamboni si bora kutumia mabasi ya namna hiyo, kuliko mabilioni ya kujenga daraja linalokusudiwa kujengwa.
 
Hebu tusibaki kusema wenzetu wako mbali, hili gari halikutengenezwa na raisi wa nchi..!!! hebu tufunguke; haya ni mawazo ya mtu mmoja, hata wewe ukiamua kufanya kitu inawezekana, chukua hatua...!!!

Kwani kama yapo si yananunuliwa tu!!!
 
Hii ingekuwa kitu ya kawaida sana kama tungetumia vizuri rasilimali zetu. Nashangaa sana tunapowacheka wasukuma waliobadilishiwa almasi kwa golori. Ukiangalia kwa makini utaona ni kama hatuna tofauti.
 
Hebu tusibaki kusema wenzetu wako mbali, hili gari halikutengenezwa na raisi wa nchi..!!! hebu tufunguke; haya ni mawazo ya mtu mmoja, hata wewe ukiamua kufanya kitu inawezekana, chukua hatua...!!!

Bull Hitting................

Na si lazima wote tutengeneze hayo madubwasha.......wao waache watengeneze tuuuu
Sisi tuna rasilimali nyingi huku zinafujwa tuuu.....if we concentrate seriously na madini tu....i think haya hayatakuwa maajabu kwetu as wao watatengeneza na sisi tutanunua kwa raha zetu

Imagine Petro-dollar wanavyoenjoy technology ambayo wao wala hawana mpango wa kuwa sehemu ya ugunduzi......wamebarikiwa mafuta na humo ndo wanaamka....shinda na kesha.....hawana wanyama but nao wanawavuna kutoka kwetu sie tunalala tu na kushangaaaa. Vyetu tanapoteza huku tukitamani vya wenzetu....shame on us....

Tuweke priority na kusimamia kuona yanakuwa.............kwa kweli inawezekana
 
Back
Top Bottom