Ona tofauti ya video hizi mbili

Ona tofauti ya video hizi mbili

ZINDAGI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,437
Jamani tukiwaambia mnasema tunawaonea.
 
Nimeangalia video hizi mbili nikagundua mashabiki wa Yanga ni malimbukeni,wahuni pia ni washamba awajui nini maana ya utani wa jadi.wanastrees nyingi sana.

Mashabiki wa simba wamekaa na shabiki wa Yanga kama ndugu,mtani wa jadi,rafiki,wanamuhitaji awepo ili aone makali ya Simba msimu huu.wanafurahia uwepo wake mpaka yeye mwenyewe shabiki wa Yanga anawapungia mikono kwa furaha mashabiki wa Simba.
 
Binafsi nimeiona hiyo video imenigadhibisha sana nazani nikati ya video yakukemewa na haihitajiki kusambazwa zaidi mana nikati yavideo zinazoamsha munkari sana..nilikua sijaiona before sasa mida hii kabla sijaingia jf ndo nimeona kuna jamaa wayanga ameiweka kama whtsp status yake ameweka na caption "KAVAA SHERA HARUSI SIO YAKE" aah nimemmaind knoma, hakuna utani wanamna hiyo. Naningewaona waungwana kama baada yakumchania jezi yake wangempa sasa hiyo ya Yanga
 
Ushaambiwa siku ya wananchi sasa kiherehere cha nini, hata huyo wa yanga kwa simba wangempasua tu, ingekua mimi huyo wa simba ningemtoa damu anaharibu mapambo yetu tuliyojipangia kupendezesha uwanja
 
Tatizo lipo kwa hi waliovaa hizo jezi, Kila kitu kina mahali pake. Huwezi Tia chumvi kwenye chai au kutia sukari kwenye nyama
 
Nilifurahi sana nilipoona picha ya Gari la Chadema likiwa limewabeba wanachama wa CCM. Sisi ni Watanzania, Utanzania wetu ni Upendo uliotukuka. Kumchania mtu nguo kisa tu amevaa jezi ya tu pinzani ni Upumbavu tu. Ameona umuhimu wenu, amekuja kutoa sapot kwa namna yake. Umasikini tu wa Fikra
 
Back
Top Bottom