Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 403
Jamaa mmoja alienda hosipitali alipofika akajieleza kuwa anajisikia homa kali, dakatari akamwambia kesho yake apeleke mkojo na uwe ni ule alio ukojoa mapema asubuhi. Jamaa alipo amka akakojoa mkojo akauhifadhi kwenye kichupa akaweka chumbani sakafuni akaenda kuoga. Mkewe wakati anafanya usafi bahati mbaya akamwaga ule mkojo, kwa kuogopa kipondo toka kwa mumewe akaona bora akojoe ambadilishie mkojo wake jamaa alipotoka bafuni akavaa haraka na kwenda na mkojo hosipitali, daktari alipo upima ule mkoja akamwambia jamaa mbona vipimo vya mkojo wako vinaonyesha unamimba?.........hapa si zungumzii mkojo mtamu.