Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza

Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
[h=3]Ona Mafuriko yalivyo ikumba Mwanza. Hii ni rasha rasha, tukisubiri kimbunga cha Tinga Tinga.

MWAKA HUU WATAISOMA NAMBA.[/h]
NAPE NA LUSINDE OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE









 
Kweli ccm haina watu. Kwa jiji la Mwanza hawa watu ndio wakuita mafuriko?

Du, kweli mnakufa vibaya!
 
Mbona hamna sera kazi mitusi tu?tatizo mmekurupuka kwenye siasa toka mwezi jul2015
 
hahahaha hivi kumbe adi hayo ni mafuriko? Basi yale ya juzi kati alivyoenda Lowassa inabidi tuyatafutie jina
 
hao wanacheza tuu mwanza si ilemela wala nyamagana
watapigwa alfajiri
 
Mwanza, kigoma, mbeya Arusha na mtwara watu wanashambulia. kwa kweli CCM wamejipanga UKAWA wao bado wamezubaa na Lowasa Dar. huu mwaka UKAWA itanyooshwa vizuri sana
 
Back
Top Bottom