Ona hii ya dogo na Dokta!

Ona hii ya dogo na Dokta!

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,373
Dogo mmoja kapelekwa hospital na mdingi wake,dokta akawa anamwandikia dawa,baba yake akatoka nje kuongea na simu,mtoto akamuinamia dokta na kumwita kwa sauti ya chini,dokta! dokta!......kwenye dozi ya dawa andika FANTA BARIDI NA CHIPS MISHKAKI kwa siku 30 kutwa x 3!.Dokta hoi:-*
 
Back
Top Bottom