Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Nimejiandikishia Kagera lkn kituo changu cha kazi ni Kigoma hii ina maana ya kwamba hata siku ya uchaguzi nitakuwa Kigoma
Nadhani kutakuwa na muda wa kuhakiki wale waliohama vituo,sina uhakika kama na mwaka huu hii Tume ya Mkude Simba itafanya.Lakini utapiga kaka