Ona hapa trafiki alichomfanyia mtumishi wa Mungu

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police. Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako matairi yameisha?

Wakati wote huo Mtumishi wa Mungu hakuelewa cha kufanya, hatimaye polisi akamuamuru Mchungaji waende nae kituoni. Njiani polisi alimuuliza, umesema wewe ni Mtumishi wa Mungu? Je, una biblia ndani ya gari?, akajibu ndio ninayo. Polisi: Pack gari pembeni na nionyeshe biblia.

Mtumishi akapaki gari na kutoa biblia, Polisi akamuamuru Mtumishi 'fungua na usome Mathayo 5:25-26." Mtu wa Mungu akasoma, Imeandikwa hivi:- "Patana na Mshtaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani: yule mshtaki asijekukupeleka kwa kadhi na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani. Amin nakuambia, hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho".

Mtumishi wa Mungu akampa polisi yaliyo ya kaisari. Polisi akatabasamu na kumuwekea mkono kichwani mtumishi huku akisema "Msifanye migumu mioyo yenu". Enenda kwa amani.

Chanzo: Niliomba lift gari ya mchungaji
 
Ninamashaka na huyo mtumishi wa Mungu kama kweli alikuwa na utumishi, maana yeye alikuwa na vifungu vingi zaidi vya kumzidi hoja huyo askari lakini hakujua vilipo, angejua vilipo kamwe asingethibiti kufanya aliyoyafanya
 
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police. Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako matairi yameisha?

Wakati wote huo Mtumishi wa Mungu hakuelewa cha kufanya, hatimaye polisi akamuamuru Mchungaji waende nae kituoni. Njiani polisi alimuuliza, umesema wewe ni Mtumishi wa Mungu? Je, una biblia ndani ya gari?, akajibu ndio ninayo. Polisi: Pack gari pembeni na nionyeshe biblia.

Mtumishi akapaki gari na kutoa biblia, Polisi akamuamuru Mtumishi 'fungua na usome Mathayo 5:25-26." Mtu wa Mungu akasoma, Imeandikwa hivi:- "Patana na Mshtaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani: yule mshtaki asijekukupeleka kwa kadhi na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani. Amin nakuambia, hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho".

Mtumishi wa Mungu akampa polisi yaliyo ya kaisari. Polisi akatabasamu na kumuwekea mkono kichwani mtumishi huku akisema "Msifanye migumu mioyo yenu". Enenda kwa amani.

Chanzo: Niliomba lift gari ya mchungaji
 
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police. Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako matairi yameisha?

Mtumishi wa Mungu akampa polisi yaliyo ya kaisari. Polisi akatabasamu na kumuwekea mkono kichwani mtumishi huku akisema "Msifanye migumu mioyo yenu". Enenda kwa amani.

Chanzo: Niliomba lift gari ya mchungaji

Alilipa faini ama alitoa rushwa? Akampa ya Kaisari namna gani?
 
Nchi ya kitu kidogo..

Hapo Askari aliomba pesa ya kiwi ambayo ni haki yake maana mkuu alihalalisha
 
Polisi akamuamuru Mtumishi 'fungua na usome Mathayo 5:25-26." Mtu wa Mungu akasoma, Imeandikwa hivi:- "Patana na Mshtaki wako upesi, wakati uwapo pamoja naye njiani: yule mshtaki asijekukupeleka kwa kadhi na kadhi akakupeleka kwa askari, ukatupwa gerezani. Amin nakuambia, hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho".
ha ha haaaaaaa

nimecheka sana kwakweli

du,

huyo Polisi nimemkubali
 
Wanaofahamu wanasaidie hapa, nashindwa kuelewa inakuaje trafik wanatoza faini za makosa barabarani tsh30000/- kila kosa wakati sheria za usalama barabarani zinaeleza tofauti. Mfano kutobeba hati ya usajiri wa gari(kadi ya gari) sheria kifungu cha 13 kinaeleza faini ya kosa hilo isiyozidi tsh10000/-. Lakini ukikamatwa na polisi faini unaambiwa 30000/- na notification zao zinaeleza hivyo. Hapa inakuaje wakuu?
 
Polisi alilitumia vibaya andiko kwa maslahi yake.
Yohana mbatizaji aliwaambia askari watosheke na mishahara yao.
Sema huyo mchungaji naye andiko la askari kutosheka na mishahara yao hakuwa nalo au hofu aliiruhusu ikamtawala.
 
Back
Top Bottom