newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,386
- 583
Ukute tangu mwaka uanze hujawahi kumpa mama yako zawadi au hata kumtumia ka 50, leo unahonga gari kwa mtu hata mkataba wa maisha hamna...! Pole sana!!!!!!!
Duh... Kumbe kuna watu mapenzi yamewatawala kiasi hiki? Yaani nimuhonge gari mi nitembee kwa mguu, anikosee halafu mi ndo nijishushe!
kanunua gari kampa demu walivyoachana kampokonya