Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,493
- 145,851
True!.......It's a full-time job to be a good dad.
True or false?
Ni kweli mkuu,nikiwa kazini mara kwa mara nafanya mawasiliano kujua mwanangu yupo ktk hali gani,pia nikiwa nyumbani huwa najitahidi kumuogesha,kumpaka mafuta,kumvisha,kucheza naye na mengineyo.Najitahidi mwanangu akue akiwa anauhisi mno upendo wa baba yake,na kwa kiasi kikubwa nishiriki ktk malezi yake.Najivunia kuwa baba.
It's a full-time job to be a good dad.
True or false?
It's a full-time job to be a good dad.
True or false?
HongeraNi kweli mkuu,nikiwa kazini mara kwa mara nafanya mawasiliano kujua mwanangu yupo ktk hali gani,pia nikiwa nyumbani huwa najitahidi kumuogesha,kumpaka mafuta,kumvisha,kucheza naye na mengineyo.Najitahidi mwanangu akue akiwa anauhisi mno upendo wa baba yake,na kwa kiasi kikubwa nishiriki ktk malezi yake.Najivunia kuwa baba.
Hongera