On my way to Nairobi...

Ha ha ha.... Kasie nakusubiria huku nairobaa tubadilishe mazingira kidogo... Dar joto limezidi

Hivo kumbee, hata sikuwa nimeona. Naona habari ya mjini saa hizi mkishakubaliana basi ni kubadilishana avatar tuu. Kwahiyo GuDume nae anatumia avatar ya demiss?
 
Is dis ya first time kwenda nje ya nchi!? Ni kweli kabisa unaaga jf kwa safari ya NBI?
 
Is dis ya first time kwenda nje ya nchi!? Ni kweli kabisa unaaga jf kwa safari ya NBI?

Ushamba mzigo ndugu yangu, tuvumiliane tuu, ndo mara yangu ya kwanza na nilikuwa na shauku hatari. Hata sasa bado nina shaukwa heheheheheheee Nakeyi Nairobi wuuhuuuu uuuhhhh
 
Achana naye... Unaweza aga hata kama unaenda bagamoyo toka dar. Itakuwa nairobi. Kuaga ni utamaduni wetu watanzania.mi huwa naaga hata nikitoka home kwenda mbezi na nlifundishwa hivyo kuwa kuaga ni ustaarabu. Huyu anataka kuaga ukienda wapi? Watu wengine wana fikra finyu sana. We Kasie uwe unatuaga usiache... Tena kwa mimi hata ukiwa unaenda washroom uwe unaniaga itapendeza zaidi.... Watu wana wivu wa kijinga.

Ushamba mzigo ndugu yangu, tuvumiliane tuu, ndo mara yangu ya kwanza na nilikuwa na shauku hatari. Hata sasa bado nina shaukwa heheheheheheee Nakeyi Nairobi wuuhuuuu uuuhhhh
 

Hahahahahaha GuDume ujue wewe ni mtundu sana..... hivi ulivokuwa mdogo ukiwa nursery hadi darasa la saba ilikuwaje vituko vyako...! Natamani na nimepata shauku ya kutaka kujua kipindi hicho ulikuwa na vituko gani hehehehe.

Hapo pa kuniambia niwe nakuaga hata nikienda washroom umenikumbusha yule mschana uliyeenda nae kwako ukitaka kumgegeda ila akashikwa na haja kabla ya tukio nawe ukasisitiza aache mlango wazi ili uone anavokata gogo...... aahahahahahahahaa nilicheka maana harufu ilikushinda kuendelea kushuhudia tukio la gogo kuteremka. Aahahahahaa looh weee kila nikivuta taswira badoo siipati vizuri.....

GuDumeeeeee Aahahahahaa unanipasua mbavu kwa matukio yako looh.
 
Aaaah... Yule dada sijui alikuwa anakula nini alikuwa hajaenda maliwato kwa haja kubwa muda mrefu. Hii ni mbaya.... Ndo inasababisha choo kiwe na harufu sana. Mi nahakikisha mara mbili kwa siku naenda choo. Asub na usiku. Na huwez sikia harufu... Ila kwa wewe Kasie sina mashaka kabisa.....


 

Hahahahaaa looh, shaka ondoa. Lazima niripoti makao makuu kama si mara 2 basi mara 1 kwa siku na hapo wala hakuna harufu yoyote.

Kuna siku niliingia maliwato na simu maana nilikuwa nachat wasap na babu mmoja hivi, nikamwambia nakata gogo akacheka, akaniambia ukimaliza yanuse, nilipomaliza nikainama kusikia harufu yeyote kama gogo linanuka waapiii, hakukuwa na harufu yeyote. Nikamwambia hayanuki akanijibu yaguse yaani yatofoe halafu upeleke puani unuse. ...... nilimtukana nikanawa nikatoka hahahaha (ofcourse huwa tunataniana sana) hapo nilisikia kinyaa na yeye pia alitania maana ana kinyaa kunizidi ila tukianza kuongea au tukiwa pamoja tunakuwa kama fyatu flani hivi.

Hivo shaka ondoa, unaweza ukawa unakunywa juice wakati mie nakata gogo hehehehehe.
 
Deal Kasie! There wont be no driver, will be driving one another....cruizing the road, talking, laughing, some brief stops here and there....no rush, making every single mile of the journey memorable....sorry for a late reply though
 
Vyenye wakuja Nairobi usisahau kupitq kwa machalii zako hapa tukuone
 
Deal Kasie! There wont be no driver, will be driving one another....cruizing the road, talking, laughing, some brief stops here and there....no rush, making every single mile of the journey memorable....sorry for a late reply though

Wuuhuuuuuuu deal sealed. See yaah I love it and am so happy...... making every single mile of the journey memorable..... brief stops here and there.....

Ushaniteka ujue hehehehehhehee
Cheers Sesten.
 
Wuuhuuuuuuu deal sealed. See yaah I love it and am so happy...... making every single mile of the journey memorable..... brief stops here and there.....

Ushaniteka ujue hehehehehhehee
Cheers Sesten.
You deserve that knda treat mamii, cant wait for that day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…