kasie motooooo matataaaa...
Ooh yeeaaah. .....
Kasie Fireee it's very hot down here.....
Inabamba hatareeee, jamani jamani Nairobi. ... nioneeni huruma nirudi salama SA na parchichi yangu looh sio kwa utamu huu nnaouramba hapa Naii.... chaa! !
Wasapee chalii.....!!! hehehehhe.
No I can't I have to go back SA and submit a report. Siku nikija Dar ntakufuta.
Fiti jo.....niaje?Sasaa. ...
Habari zenyuu,
Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.
Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.
Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.
Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!
Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.
Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.
Nakeyi Nairobi.
Kasie Marhaba aka Mahaba.
Kama unataka kufeel upo Europe usiache kupita The hub Karen Mall au Two Rivers Mall utapata maduka makubwa (hypermarket)French giant retail Carrefour.Nairobi ni pazuri sana nimeshaishi hapo, tz hakuna mji wakufananisha na nairobi labda arusha kwa hali ya hewa.Enjoy your stay.
Nakuja Nairobi ujionea mwenyewe.Ndio kumbe ni wewe tuu ndo ulikuwa hujui..!! Wakati wenzio wanajua wewe ulikuwa wapi?
Siwezi kuchoka kumsoma na kumsikiliza Kasie, siwezi...ngoja nifuatane nae NRB nione ataibuka na nini huko, she is neither boring nor bored always akijipa raha mwenyewe, I love that