Safe journeyHabari zenyuu,
Vile ajira yangu ni ya kutumwatumwa basi muda wote pasi yangu ya kusafiria iko juu kama mistachii.
Jana kuna propozo ililetwa mezani kwa bosi basi baada ya majibizano ya hapa na pale kati ya mabosi, nikapigiwa simu kwenye ektensheni yangu, Kasie tomorrow (ambayo ni leo) you go to Nairobi to seal the deal.
Basi na nnavopenda kusafiri utasema nilikula miguu ya kuku heheheheheh.
Boarding SAA to Nairobi..... see you soon NBI pipoz, wananifurahishaga na ile salamu yao.... NIAJE... POAAH! !!
Mwanamke nyonga makalio mapambo tuu hehehehhe. Mbilia kanipa mzuka wa kucheza zouk kwa kunengua kama hutaki huku unataka kama umefungasha mzigo mkubwa nyuma kumbe..... kashata tuu heheheheh.
Madam Mbilia Bel ndo namsikiliza hadi nitue Jomo Kenyata Airport.
Nakeyi Nairobi.
Kasie Marhaba aka Mahaba.
Nice...Karani. ... si ndio kazi ya kutumwa tumwa? Kwa lugha ya malkia Messenger Kasie.
As for this mission, am a messenger from SA purposely to seal a coy deal.
Sorry if I over deliver.
Na SALIM KIKEKE yuko Nairobi kikazi,jaribu kumcheki ,hhah haha haaa natania
Nye Nye Nye!Habari zenyuu,