mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,393 Reaction score 138,113 Feb 22, 2023 #21 HIMARS said: Wasanii wengi Tz ni walamba matako Click to expand... Nashangaaa watu wnaowaunga mkono.... Ova
HIMARS said: Wasanii wengi Tz ni walamba matako Click to expand... Nashangaaa watu wnaowaunga mkono.... Ova
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,393 Reaction score 138,113 Feb 22, 2023 #22 Arovera said: Wasanii wa Tanzania wanaweza kukata mauno tu hawana lolote la maana Click to expand... Na kutengeneza kik zao wananchi wenye akili ndogo waanze kuwafatilia Ova
Arovera said: Wasanii wa Tanzania wanaweza kukata mauno tu hawana lolote la maana Click to expand... Na kutengeneza kik zao wananchi wenye akili ndogo waanze kuwafatilia Ova
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,910 Reaction score 38,658 Feb 22, 2023 #23 Ushimen said: Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya. Click to expand... Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo.
Ushimen said: Mjaluo bwege sana huyo, yaani baada ya kutengeneza jina (brand), sasa analiharibu tena kwa kulitumia vibaya. Click to expand... Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,140 Reaction score 111,015 Feb 22, 2023 #24 Mbona kama anaigiza
melusine8 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2022 Posts 6,299 Reaction score 7,748 Feb 22, 2023 #25 instanbul said: Wakati hapo ndo anatengeneza jina na umaarufu zaidi... Bora ya huyo anatengeneza jina kwa kuwatetea wananchi...sisi huku bongo watu wanapata umaarufu kwa connection za uchi, umalaya nk mfano mtu kama kajala Click to expand... Bwahaha [emoji1787]
instanbul said: Wakati hapo ndo anatengeneza jina na umaarufu zaidi... Bora ya huyo anatengeneza jina kwa kuwatetea wananchi...sisi huku bongo watu wanapata umaarufu kwa connection za uchi, umalaya nk mfano mtu kama kajala Click to expand... Bwahaha [emoji1787]
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,636 Reaction score 112,467 Feb 22, 2023 #26 uttoh2002 said: Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo. Click to expand... Mkuu, weulitaka nisicomment..🤔 Na kwani wote tukiwa na brand, nani atakua mkulima..🙄
uttoh2002 said: Una comment wewe ambaye hata brand huna, mwenye nayo aliyeingia gharama kuitengeneza ndo kaamua kufanya hivyo. Click to expand... Mkuu, weulitaka nisicomment..🤔 Na kwani wote tukiwa na brand, nani atakua mkulima..🙄
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,771 Reaction score 22,588 Feb 22, 2023 #27 mrangi said: Bongo kuna msanii anayeweza kuandamana kudai mambo fulani Ova Click to expand... Siyo jukumu la msanii kuandama a
mrangi said: Bongo kuna msanii anayeweza kuandamana kudai mambo fulani Ova Click to expand... Siyo jukumu la msanii kuandama a