Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,851 Sep 22, 2017 #21 Matungiza said: Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja. Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine. Click to expand... Wewe endelea kucheza visingeli, ushabiki wa mpira hauwezi.
Matungiza said: Haji Manara mpiga debe mkuu wa Omog tunakueleza kuwa mwisho wa Omog umefika. Tunachotaka kusikia kuwa akitua Dar ataelekee kwao moja kwa moja. Kama vipi nawe Manara tuachie timu yetu tutatafuta msemaji mwingine. Click to expand... Wewe endelea kucheza visingeli, ushabiki wa mpira hauwezi.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,935 Reaction score 27,196 Sep 22, 2017 #22 Heheee.. Mtani mnawashwa nyie. Kelele nyiiiiiiiingi sasa ivi mmeanza kupuyanga wenyewe. Teh