Omo na Foma

Omo na Foma

dr luv

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
23
Reaction score
12
Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi
ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu?
Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi
hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni.
Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una
majibu ya kipuuzi. Zitatoje povu wakati
hatujaweka maji?
 
Hi kaliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!! ila kama mi mwalimu lazima nimcharaze kw kuniumbua
 
Hahaaa usikute hili limwalimu lilisoma memkwa kwa mtazamo wangu ninavyo ona!
 
Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious
 
Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious


Nakubaliana na ww mkonomtupu haulambwi!! Huyo mwl ni ccm huwa hawajitambui. Majibu yao mepesi kwa maswali ya msingi.
 
Back
Top Bottom