29 August 2025
Unguja, Zanzibar
OMO - NCHI INAELEKEA KWENYE KHATARI KUBWA
Othman Masoud Othman afika ofisini kwa Mufti Mkuu wa Zanzibar mheshimiwa Sheikh Saleh Omar Kabi
View: https://m.youtube.com/watch?v=E8JPsgD5Yw0
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amemuelezea Mufti wa Zanzibar ukweli wote kuhusu kilichokwenda kombo upande wa watawala.
OMO asema kuna umuhimu wa ukweli kuwekwa wazi juu ya watawala, na ukweli lazima uvuliwe nguo ...
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi asimuliwa vitendo vya kihayawani vilivyofanywa na watawala ..
Othman Masoud Othman aliongozana na viongozi kadhaa wa ACT Wazalendo wakiowemo kina Ismail Jussa, ...
Baada ya OMO kumuelezea kwa kirefu na kina ukorofi wa watawala waliyoyafaya kutoka wakti wa Tume ya Hashim Mbita hadi mazungumzo ya ACT Wazalendo na Rais Samia Hassan kuhusu mambo yarekebishwe kisha huku wakipewa ahadi kibao ambazo hazijatekekezwa, ... OMO amkabidhi mheshimiwa Mufti kitabu / kabrasha lenye taarifa hizo nzito kwa kumbukumbu ...
Source : Gumzo la Ghassani