Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,504

Ommy Dimpoz ametaja sababu kubwa ya kumuweka mpenzi wake wazi ni kupunguza kasi ya wasichana wanaomwinda.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Ommy Dimpoz alisema ameamua kumweka wazi mpenzi wake ili apunguze usumbufu.
“Unajua saa hizi nimeamua kumweka wazi mpenzi wangu ili wajue yupo na kupunguza usumbufu kwa watoto wa kike ambao wanadhani labda niko single, japo yupo mbali lakini kufanya hivyo inasaidia.”

Huyu ndiye mpenzi wa Ommy Dimpoz