Ommy dimpoz amchana shigongo

shigongo achaniki...mawazo ya mwendazimu sio amri...yupo kibiashara zaidi hamuezi shindana na kichaa
 
Shigongo ni tapeli kama tapeli mwingine yeyote, mtaji wake ni kuwaanika hawa vijana wanaohangaika kujitafutia riziki kwenye magazeti yake.

Mtu akishakuwa CCM lazima anakuwa kimaslahi ya wizi tu, mfano mzuri ni Shigongo na Ruge...
 
lakini kama ni kweli basi Ommy akamshtaki manake hakuna haja ya kurushiana nae maneno humu mitandaoni.
lkn kabla ya yote lazima ujiulize je ni kweli alienda kwenye msiba wa ngwea?? je alikuwa na nani beneti kwenye huo msiba??

swala la kuwa mringi nafkiri wanamsingizia tu manake huyu kijana anaonekana kuwa mringi tu kwa kuzaliwa so hatuwez sema kawa mringi kisa msiba
 
hawa wasanii wetu malimbukeni sana , hawa hawanifurahishi
 
tatizo wasanii wetu wasipoandikwa utasikia wamelogwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…