Mademe X nilifikiri pia unaelewa kuna siku mtu anapata hali hiyo siku si zake kutokana na mshtuko au ukiwa too immotional!.Jamani, nauliza wanawake wote wakikaribia period they get that feeling or atleast you know your dates. Where is the panty liners for precaution, yaani bonge la NOMARR
Mkuu MTM, hivi vitu sisi Waafrika huwa hatuvizungumzii kwa heshima ya mama zetu!. Masikini dada wa watu!, haikuwa siku zake lakini hali hiyo imesababishwa na shock ya kuwa too emotional.
Yuck!!
But didn't she feel it dripping down her legs?
Mother Peggy decided to arrive unannounced! Hata angeskia angefanyaje na imeshatokea? Nimeona kajitahidi kuvaa sketi "ndefu" ila ingekuwa ndefu enough huenda embarrassment ingepungua...by the time she left the stage na watu kuona, angeshapata namna ya kujistiri.Nadhani fundisho wamelipata wengine na watachukua tahadhari.
kweli mkuu hata mimi imenisikitisha lakini maji yakimwagika .........Imeniumiza sana as if it was ME!!!!
bahati nzuri wadadaz wa kibongo wako very smart.....nawapa big upNgoja siku mmoja na mwimbaji wa hapa bongo imtokeee duh! Mbaya sanaaa:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
bahati nzuri wadadaz wa kibongo wako very smart.....nawapa big up
aisee ajali ya kudhalilisha sana......ni kweli lakini huyu angekuwa kavaa nguo ya ndani labda zisingefika uko....inasemekana hakuvaa....Hizi ajali hutokea arifu. Tumeziona sana mashuleni na hata makazini.
si kweli kabsaa..damu inapoanza kutoka haiji kama bomba hivyo kama ndo imemuanza ni lazma vingetoka kidogo siku ya pili au baada ya masaa 6 nakuendelea ndo damu hutoka kwa kasi..lakin siku ya kwanza tena kaw muda huo huo damu itoke vile...labda kama ameharibu mimba.